katika maisha yako kila anaye kusababishia changamoto kwenye kila jambo au katika mipango yako
1:usiwe mwepesi wa kujibu 2:linda thamani na gharama ya maisha uliyonayo na kwa kiwango ulicho kitumia 3:Heshimu muda ambao umepewa kwa kusudi na kazi maalumu 4:Tambua nani yuko ndani yako na anataka nini 5: Heshimu mamlaka iliyowekwa kwaajili ya ili kukujenga kiufahamu
0 Comments