Mwanamke mmoja aitwaye Maria Matheo anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Tabora, kwa tuhuma za kumuua mumewe Gabriel Nguwa (80), kwa kumvizia akiwa amelala na kumkaba shingoni hadi kufa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa muda mrefu uliokuwepo baina ya wanandoa hao.