Katika bahari njia hutokea kiongozi Mungu kuyagawa maji yakawa ukuta pande mbili janjwani chakula na maji kwa musaada wa Mungu huletwa vitani yeye ni Mungu wa vita atapigana machozi na mateso yeye Yesu mtoa amani isiyo sawa na wanadamu mitego sumu nyoka pepo KIFO dhambi umasikini kutengwa na kukataliwa mizigo yote yeye Yesu nipumziko  vilivyo sirini  vifanyikavyo gizani umbali mawazo matendo jicho lake hafumbi anayaona yote upendo wa Yesu ni waajabu sikuzote pesa mali magari majumba vyeo AMANI WOKOVU Yesu vyote hivi nivyake amenipa nimemtii na kumwamini nimekiri kuwa yesu ni kristo nimezaliwa na MUNGU.